THE BOSS Sehemu ya 83

THE BOSS Sehemu ya 83

Basi bwana hii siku mi sikulala, nilikuw nalia tu, namtafuta mume wangu, nyieee mpaka dada hawa alinionea huruma akaanza kunambia basi imetosha utaumwa mariamu, ila naumia cozi nampenda sanaa mume wangu yani sanaaa, nyieee mwanaume akanicha nyumbani weeek 2, hajibu sms zangu, hapokei simu zangu, na mama akimpigia simu, anampokelea anamwmabia kasafiri akirudi atakuja, nikawa naongea na da hawa aniombee msamaha kwa mume wangu, da hawa anambia ananiombea sanaa, ila avish hamjibu kabisaaa, nikaona sawa bwana kama ndo nimeharibu, nikawa nawaza ata niende kwao na mm, nikaongee na mama yake , labda akiambiwa na mama yake ataelewa ila naona aibu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments