BINTI MIA 08&09

BINTI MIA 08&09

BINTI MIA 08&09 Mwandishi: Chief na simulizi zake WhatsApp: +255 621045997 "Sijauliza kwa ubaya, nahitaji tukitaka kuzaa tuwe tumejipanga." "Oooh asante baby....." Penzi likawa la moto ila hatukuwa na hashuo kujionyesha. Siku hiyo nikaamka mwenyewe tumbo linaniuma, nilikua red carpet. Kuamka tu akaniletea pad, machocolate, yoghurt, popcorn eti za pole. Eeh, kumbe alikumbuka! Nikajiona kama Queen Elsa na komwe langu. "Thank u babe." "Usjali, nakupenda wewe na kila kitu chako adi maumivu yako." Nikaweka status nikaandika, 'He knows I'm sick but he hasn't given me medicine, he gives me a gifts. My babe is wonderful doctor.' Max na kichogo chake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments