BINTI MIA 10

BINTI MIA 10

BINTI MIA Mwandishi: Chief na simulizi zake WhatsApp: +255 621045997 Nikaguna mmmh. "Unaguna nini?" "Hamna, ebu wapigie hawa mbona wanachelewesha chakula, mama mwenyewe achelew kughairi." Nikamrudishia simu yake, akasoma ile sms. Akawa ananiangalia tu. "Kwanini ujampa taarifa mkeo mama anaumwa?" "Mia, ebu achana na hizo habari, uyu ni mjinga mmoja tu ambaye hana umuhim wowote." "Hana umuhim na ni mkeo?" "Nani kakwambia ni mke wangu?" "Kwani mtu anaekuita hubby sio mkeo?" "Mia, ebu usianze kunichanganya, nina mambo kibao kichwani." Eee yaaan, ad kukosa ukose wewe lakini bado unaniletea ubabe. Ndio mana mama alinambia wewe mkorofi eee? "Ndio, mimi ni mkorofi."

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments