BINTI MIA 13&14

BINTI MIA 13&14

BINTI MIA 13 Mwandishi: Chief na simulizi zake WhatsApp: 0621045997 Nilimtaarifu mama (wa kufikia) kuwa jioni Victor atanifuata na kwenda kwao... Hakuwa na kipingamizi chochote kile. Baada ya muda kweli Victor alikuja na tukaongozana kwenda kwao. Tulikuta Doto yupo na yule mdada wa kizungu.... Victor akasema, "Ni heri nimewakuta wote nyieee vichomi." Mia kaweka mkoba uje... Nilielekea chumbani kuweka mkoba hapo Doto ananiangalia kwa husda hatari nami wala sikumjali... Maana jicho lake baya alinidhuru popote. Niliweka mkoba na kurudi pale sebuleni.... Yule Lerato aliaga kuwa anaondoka, Victor akamwambia: "No huwezi ondoka tuna jambo letu kwanza hapa....!" Aliuliza ni jambo gani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments