BINTI MIA 15

BINTI MIA 15

BINTI MIA 15 Mwandishi: Chief na simulizi zake WhatsApp: 0721045997 "Shemu please be serious, utani mwingine sio mzuri, nakuomba usifanye hivyo, kumbuka mimi ni shemeji yako...!" "Mia naomba uvue nguo nienjoy asali ya dogo," alisema akikoki bastola vizuri. Nilipiga magoti na kujaribu kumuomba asinifanyie hivyo, ila haikuwa bahati yangu. Alinifanyia kitendo cha kikatili kwa kuniingilia pasipo ridhaa yangu, kitendo ambacho sihitaji kukikumbuka wala kukielezea. Nilumia sana sanaaaa, kuona shemeji yangu amenivunjia heshima kiasi kile. Niliamua kuondoka pale nyumbani kwa kina Victor na kwenda kule kwa baba yangu na mama yangu wa kambo. Niliogopa kumwambia yoyote kuhusu kitendo kile cha aibu,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments