
SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kuna maisha flanii niliishigi zamani ambapo kila nikikumbuka huwa nasikitika. Naweza sema hayakua mazuri lakini maisha hayo hayo yalinipa mume ambae amechangia pa kubwa mno kuwa nilivyo leo. Nakumbuka kipindi icho nilikua maarufu sana kwa kudanga na kufanya starehe. Yani ukija Dar alafu ukauliza Vina baby ama Vina utamu huwezi nikosa. Kijiwe changu kilikua Tabata, Sinza na Kinondoni. Sana sana inategemea siku iyo nitakua na mood ya kwenda kijiwe gani kuwinda😅. Basi nakumbuka siku iyo nilikua maeneo ya Sinza nikapata Danga la kukesha nalo mpaka asubui na malipo tulikubaliana laki 4. Na ilo Danga lilikua Danga
0 Comments