
BINTI MIA Mwandishi: Chief na simulizi zake Sehemu ya 18 Alimuita Annabelle aje msaidia lakini algundua tu hayo humo ndani...! Akasema kaenda wapi...!? Na amekupa nini..!? Anaomba nijikaze tu aniwahishe hospitali. Mpaka kufika mimi nilikuwa na hali mbaya sana. Nalianza kupewa huduma ya haraka sana maana nilpoteza fahamu kabisa. Nilikuja kupata fahamu usiku sana, alikuwepo tu Eva na mama yangu wa kambo... walinipa pole kunipatia mtori wa ndizi nile maana nilikuwa nina njaa sana. Dokta akaja akanipatia dawa halafu nikapumzika tena. Asubuhi Victor alikuja nikamuuliza Annabelle yuko wapi...!? Akanijibu kubwa bado hakurudi nyumbani naye hajaona umuhimu wa kumtafuta, alikuwa anawazia
0 Comments