
BINTI MIA Sehemu ya 19 Mawifi, mashemeji pamoja na maex zake mimi siwawazi tena, hivi nipoteze mtu anayejielewa sababu ya wajinga? Si nitakuwa kichaa mimi...!? Nikataarifu ndugu zangu bhana kuwa tuna harusi wajipange zawadi tu maana haina kutoa michango. Baba mkwe ndio man of the match atamaliza kila kitu na ndivyo ilivyokuwa baada ya wiki mbili tu tulfunga ndoa very simple. Ilihudhuriwa na ndugu pamoja na marafiki wachache, habari ziliwafikia hadi chuo...! Nikaona maex zetu watakuwa wameumia maskini yaani max pamoja na Eliza... Watajiju buana. Annabelle alikuja na kunitaka radhi eti hakupenda nizae na mpenzi wake ndio maana akaamua akanunue
0 Comments