
Shangazi aksema naima nimesema naomba utulie hivi wewe mtoto iyo tabia yako umezaliwa nayo au ni mimi nimeshidwa kukulea jamani mbona dada yako Marium hayupo hivyo na nimemlea mimi jamani wap nilikosea mimi naima . Nikasema hamna shangazi sio hivyo . Shangazi akasema naongea afi nachoka hivi naima ukimuona uyu mama si ni sawa na mama yako et anaweza akakuzaa kabisa uyu lakini ona mambo unayomfanyia wewe mtoto uogopi ata dhambi mwanangu uwiiiih wewe mtoto unanini lakini jamani . Angekuwa mama yako ndio anafanyiwa hivyo unavyomfanyia uyu mama ungejisikiaje . Nikasema vibaya shangazi . Akasema sasa kwanini unafanya hivi unajua
0 Comments