CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA 06&07

CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA 06&07

CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA 07&07 SEHEMU YA SITA Nilifika chap kwenye room yangu nikaanza kufanya usafi chap chap nikajiweka sawa nikamtumia msg James kumuelekeza ninapoishi. Mida ya saa moja usiku ndio James alifika hadi kwangu, sio sehemu ya kupoteza palikuwa barabarani tu. "Ohhh vp mzima Jamila?" "Me mzima tu. Unakaa nyumba nzuri, vp shemeji hawezi kunikuta hapa?" Nikamwambia, "Hapana, hata ivo wewe ni mtu mzuri kwangu umenisaidia sana, cwez kukulipa mabaya. Kama kungekuwa na mtu basi nisingekuleta hapa kwangu, so kuwa huru." Basi nikaenda dukani kumchukulia kinywaji aliniagiza maji. Tulipiga story nyingi sana na James, akaniambia yule niliomkuta pale ni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments