CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA 08&09

CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA 08&09

CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA SEHEMU YA NANE Ikabidi nimwambie James ukweli kuwa nafanya kazi bar na muda mwingi huwa silali nyumbani, nakuwa bar na wenzangu. Akaniangalia usoni akaniambia, "Jamila mbona hukuniambia? Kwanini ulinificha?" Nikamwambia ningemwambia tu. Akaniambia, "Jamila mimi nilijua tu kazi unayoifanya muda mrefu, na najua hadi bar unayoifanyia kazi." Nikamwambia, "Umejuaje James? Ina maana unanifatilia??" Akasema, "Nio Jamila nimekufatilia tangu siku ya kwanza uliyonileta hapa kwako. Nikikuaga natoka huwa sitoki, napaki gari sehemu nakuona unavyochukua pikipiki na mimi naifatilia hiyo pikipiki hadi unavyofika kwenye bar yako, na nimeshakuja kwenye bar yako zaidi ya mara mbili." Yaani ina maana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments