CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA 10

CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA 10

CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA SEHEMU YA KUMI Nilifungua mlango akaingia ndani, hapo mkumbuke ndio nimetoka bafuni nimejifunga kanga moja tu. "Mambo yako?" Nikamjibu, "Safi." Akaza, "Ohh Jamila hunipendi nimegundua lengo lako ulitaka unichezee tu unipotezee muda wangu." "Jamani kukuchezea tena?" "Ndio, mbona hujanitafuta? Kama kweli ulikuwa na mapenzi ya kweli na mimi kwanini hukuja nyumbani kwetu??" Nikamwambia, "James kumbuka uliondoka pale bila kutaka kuongea chochote na mimi na hata nilivyokupigia simu hukupokea simu yangu na mwisho ukaniblock??" Akaniambia, "Jamila nilikuwa na hasira sana na ningeongea chochote ile siku basi leo tusingekuwa hapa coz najijua nilivyo. Niliamua kuondoka ili kuepusha shari

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments