
Basi maisha yakaendelea ila sasa mama ibra mbona alijuta kunijua jamani kila siku alikuwa analalamika . Nikijisikia naenda kwakr na bwana ake nalala nae chumbani yeye anachumba cha watoto . Jamani nilikuwa sijali wala nini uyu mama alikuwa ananililia mno nimuachie ndoa yake . Looh mimi mwenyewe natafuta wakunistiri alafu nimuachie yeye kweli ,tena mimi ninavyopenda maugomvi sasa ndio nilikuwa napambana kweli kumkomoa uyu mama . Basi bwana kuna siku moja asubuhi nilikuwa nimelala zangu apo ni saa 4 hii siku sikuwa na issue ya kufanya kwaiyo nililala mpaka saa 4 na ilikuwa jmos , dada Marium akajakuniita ,nikasema dada
0 Comments