
CHANGUDOA MPAKA MKE MWEMA SEHEMU YA 01 Naitwa Jamila nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita tangu kuzaliwa kwangu sijawahi kuona wazazi wangu yaan Baba na Mama yangu , nikiwa mdogo nililelewa na bibi yngu mzaa Mama niliambiwa tu Mama yngu alifariki bc, maisha yalikuwa ya shida hapo nyumbani kwetu tukiwa mm na bibi yngu, tuliishi vzr na bibi yngu alinipenda sanaa, Bibi yngu alikuwa mkulima wa vibarua kwenye mashamba ya watu,, nilivyomaliza Elimu ya msingi bahati nzuri nilifaulu kwenda kidato cha kwanza lkn kutokana na maisha ya nyumbani kwetu ya umasikini bibi yngu hakuweza kunisomesha, ile hali iliniumiza sana maana nilipenda mnoo
0 Comments