THE BOSS Sehemu ya 78

THE BOSS Sehemu ya 78

Avish akasema mie ni muislamu, na mie ni mkristo, zote ni dini zangu na mungu ni mmoja mi baba yangu ni musilamu, ila kuna kupindi niliuchukia uislamu mna mzee alituacha akaenda kuoa wake wengine, ila mama ni mkristo na ndo nilibase sana uko kwa mama, but kwa ajili yako mi ni muislamu, na nina imani ile ndoa imekamilika mke wangu , nikajikuta mpaka nacheka, akanikimbatia zaidi,akanmbia mariamu mi napenda uk8cheka mke wangu, nikasema mh sawa, na mm napenda ukicheka , akanmbia ahaaa sawa ntajitahidi basi nikiwa na ww niwe nacheka cheka, nikasema.sawa, kisha nikamujliza ila ni vp sasa kuhusu kazi,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments