GANGSTER IN LOVE 01&02

GANGSTER IN LOVE 01&02

GANGSTER IN LOVE SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa Jumapili. Siku hii huwa siendi kazini, mara nyingi naitumia siku hii kwenda kutembelea marafiki au ndugu. Wakati mwingine huwa natulia tu nyumbani nacheki movie au kusoma simulizi mbalimbali—hiyo haswaa ndio starehe yangu. Jumapili ya leo nilikuwa naelekea kwa shoga angu Teddy, mara nyingi napenda kumwita "udugu wangu". Leo nilikuwa na taarifa mpya za kumpa shoga angu, niliona kama nachelewa kufika. Njia nzima nilikuwa nikitabasamu peke yangu. "Mmmh yaani hata sijui nianze wapi shoga angu... ubuyu kama woteee!" Nilipofika kwa Teddy, baada ya kula, tulianza story zetu. "Anzia hapo hapo afu tutamalizia mwisho," Teddy

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments