GANGSTER IN LOVE 03

GANGSTER IN LOVE 03

GANGSTER IN LOVE Sehemu ya 3 Moyo wangu ulipona kidogo nilijisikia Naweza kutoka ndani nikaingia Kazini. Nilikua nimefungua ki stationary Changu Mwenyewe kwa msaada wa kaka yangu. Siku yenyewe nikiwa nipo zangu stationary alikuja mkaka Hivi Kutoa Copy Makaratasi fulani wakati amekaa anasuburi nimuhudumie Simu yake Iliita akapokea. "Oyaaaa Akii vipi" Nilishtuka Kusikia Akii Mmmh Moyo wangu ukapiga Haraka Haraka. Kwanza Nikawa Najiuliza Hivi Ndo Yule Kaka Alienisaidi Maaana Zilipita Wiki kadhaaa Sijamuona wala Kusikia habari zake. "Nipo hapa Stationary Mtaa wa hapa Karibu na Hospital ya Simba,,,,poa boi ,,,shelia Kiongozi" Nilimsikiliza Vizur Lakin Hata Sikuelewa kutokana na Lugha alio

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments