VICK 05

VICK 05

VICK SEHEMU YA TANO Nilikuja kushtuka usiku wa manane kuelekea saa nane usiku. Nilikumbuka mazingira niliyopo na nikaona si vizuri kwenda kumwamsha bosi wa nyumba usiku huo, hivyo niliamua kulala hadi asubuhi ilipofika ambapo nilisafisha na kutandika kile kitanda vizuri kabla ya kutoka nje ya chumba kile. Nilikuta yule kaka ameshaandaa kifungua kinywa cha nguvu mezani. "Habari ya asubuhi," alisalimia kwa Kiingereza, na niliponyamaza alirudia kwa Kiswahili. "Salama," nilimjibu. "Keti ule," alinikaribisha mezani, na sikuwa na sababu ya kukataa chakula hicho kizuri. "Vick, wageni wangu walipenda sana chakula ulichopika jana. Nimefikiria kukuajiri kama mpishi wangu binafsi hapa nyumbani kama utakubali,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments