
GANGSTER IN LOVE Sehemu ya 4 Asubuhi sikua hata na hamu ya kuingia kazini. Moyo wangu niliamka ukiwa unawaza yale ya John tu. Nilitaman sana aje nyumban hata kuniomba tu msamaha aje tuongee hata anidanganye tenaa. Nilitaman sana kusikia kauli yake lakin wala hakunipigia hata simu. Moyo wangu ulikua unauma sanaaa. Kila nilifikilia yule mwanamke mjamzito na inaonekana amelala pale pale dah. Nilijona mjinga sana kumvumilia miaka yote hiyo kumbe anaenda kuwa baba. Ilo jambo lilimiuma sanaaa bora hata nisinge jua. Nilijuta sana kwenda bila taarifa nilitamani hata ningepiga simu labda angemtoa huyo mwanamke wake. "We shogaa mbona hujaenda kazini
0 Comments