GANGSTER IN LOVE 10-12

GANGSTER IN LOVE 10-12

GANGSTER IN LOVE Sehemu ya 10 Alinipeleka mpaka nyumbani kwa Akii, niliogopa wanaenda kunifanya nini hawa. "Vipi kuna usalama?" nilimuuliza wakati tunashuka kuingia getini. "Usihofu," alinijibu kifupi na kwa sauti kavu mno. Baada tu ya kulivuka geti nilichokiona hata sikuamini macho jumped. Mbele kulikua na kundi la vijana wamevua nguo zote zimebaki za ndani tu, wamepiga magoti pale nje. Mbele yao kulikua na marafiki zake Akii wale wengine wameshika mikanda. Nilipoingia tu macho yao wote walitazama upande wetu. Niliona aibu maana hakukua na mtoto wa kike tofauti na mimi. Macho jumped yalikutana na yule kaka wa usiku alietaka kunibaka, pembeni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments