Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 1 to 2

Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 1 to 2

Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 1 Adana ni Binti Wa Miaka 22, Maisha Yote ya Adana amelelewa na Mjomba Yake na hajawahi kubahatika kuwaona wazazi Wake. Binti Huyu Tangia utoto Wake mpaka Umri alio nao hakijui kitu kinaitwa furaha, Maisha Yake yamekuwa na milima Mingi ya Mateso kuliko tambarale Ya Furaha, Siyo Mjomba Yake Wala Mke Wa Mjomba Yake au watoto wa Mjomba Yake Ambao wamewahi kuchagua upande Wa furaha Wa Binti Huyo. Tangia utoto Wake Binti Huyo amegeuzwa kijakazi Wa nyumbani kwa Mjomba Yake, bahati mbaya Hata Shule hakupelekwa yaani Hata Vidudu Binti Huyu hajawahi kupelekwa maana wakati

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments