NAKUPENDA ZAINAB ❤️ 1 to 2

NAKUPENDA ZAINAB ❤️ 1 to 2

MPYA 🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩🍩 Mwandishi ;lissa wa huru media Sehemu ; ya 01 Kwa majina naitwa innocent maeka,ni mzaliwa wa sumbawanga mjini,katika mtaa wa chanji,mimi bwana ni mtoto wa pili kuzaliwa,kwetu tupo watoto 4, wa kwanza dada yangu anaitwa frola,nafwata mimi ,anafwata mdogo wangu wa kike julieth ,wa mwisho wa kiume maiko, wazazi wangu wote wapo hai ,baba ni mwalimu anafundisha shule ya msingi ila yupo vijijini weekend ndio anakujaga town kwa mother, mama yeye anashindaga kibandani kwake sokoni pale chanji, ndiko anashindaga uko ,sisi bwana kwetu wote wasomi dada angu alikuwa ndio yupo form 6 ,mimi ndio nilikuwa nimeingia form 4,awo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments