
wandishi : naah mzuri Usiku ule niliota ndoto kua niko nakijana mzuri sana na ninafunga nae ndoa na nina ujauzito nilistuka sana na nikaogopa sana kwani mimi ndoto zangu nikusoma nakua mwanasiasa mkubwa sana yani ile ndoto ilinisononesha sana ata ivo kwakua mimi nimekulia mazingira ya dini niliamua kuomba na kuzivunja ngome chafu za ibilisi🤓 chezea walokole wewe !!!basi nilipomaliza kusali niliendelea kulala lakini ule usiku ulikua mzito sana kwangu kwani ndoto ile ilijirudia mara kwa mara mpaka ahsubuhi inafika yani nilikua sina raha kabisa mwenzenu ila nilijikaza na nilijiandaa asubuhi ile nikapata kifungua kinywa na nikaelekea chuo,,, nilikua shaanza
0 Comments