Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 11 to 12

Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 11 to 12

Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 11 Yaani mpaka Mchungaji alibaki akijichekesha tu kwa Aibu asijue kipi Cha kujibu maana maneno ya Adana ulikuwa ni ukweli Mchungu. "Hivi Mchungaji Huoni Hata Aibu!? Nikuchane tu ukweli kanisani Kwenu Nyie ni wanafiki, kuanzia Wewe Mwenyewe mpaka waumini Wako, Najua kila kitu mulicho mfanyia Lwitiko, au munahisi Yeye anatafuta kwa ajili ya kuja kufaidisha matumbo Yenu!??" Yalikuwa maneno ya Adana Huku akivuta pumzi kwanza maana Ndo kwanza alikuwa anaanza kumpasha ukweli Mchungaji!. "Aaaaa!! Eeeeee Binti muogope Mungu!? Kwa nini unaamua kututukana hivyo Sisi Siyo wanafiki!?" "Eeeeee! Siyo wanafiki!? Ebu nijibu Pale kanisani Kutoka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments