
Sehemu ;03 WhatsApp;0742443214 Mwandishi;lissa wa huru media Basi kweli nikamcheki mzee nikamdanganya naumwa ,mara nini yaan mambo kibao akanitumia elfu 30 ,nikatoa elfu 15 ,nikampa baraka akaniachia simu yake. Na laini akanipa moja maana alikuwa nazo mbili ,basi nikafurahi kinoma ,nikaona apa ngoja niwavimbie sasa awa mademu mpaka kieleweke,yaani mimi darasani nilikuwa sielewi kabisa nilikuwa nawaza tu mademu sijui nayo balehe, ilikuwa inanisumbua ata sielewi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Nikiingia darasani nasubiri kipindi kiishe nikaendelee na issue zangu tu ,na wakina baraka nao, wanavyonipump na story zao ndio kabisa ,mara kale kademu nilikashika hivi mara hivi ,si mnaelewa story za kiume,ukiangalia mimi sijawahi mgusa
0 Comments