Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 9 to 10

Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 9 to 10

Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 9 Asiee Tedi alikuwa anahaha kila Njia Namna ya kumfikia Chris Lakini alikwama, kila Namba anayo tumia kumpigia Chris Basi kijana Chris akishajua tu ni Tedi alikuwa anakata Simu na kublock kabisa, Mwisho Hata kupatikana aliacha!. Miezi Miwili ilipita akiwa hajawahi kuiona Sura ya Chris kabisa, aisee Kama bahati mbaya tu Tedi aligundua kapata ujauzito Tena Wa Chris yaani Hapo Ndo alizidi kuchanganyikiwa kabisa!. Ilibidi akae na wazazi Wake ili wajue wanalitatua vipi lile tatizo!. "Jamani Huyo Chris si alikuwa mpenzi Wa Adana, Bila Shaka Adana atakuwa anajua kwake na Hiyo Ndo Njia rahisi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments