
Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 13 "Eeeeee! Kwa Hiyo Adana anajiona kapata, yaani Baada ya kuwaletea Wanangu matatizo Yeye anajiona Ndo kafika Sasa subiri, Baba Tausi ile Namba ya yule mganga si Bado unayo!?" Yalikuja maneno ya Mama Tausi akionekana kuwa na Chuki iliyo Zidi kipimo!. "Mganga yupi Mzee Nelson au Jigwa Wa Njia panda!?" Eboo Mjomba Mtu Naye aliitikia kumbe hawakuwa na mganga Mmoja Aisee!. "Yule Wa Njia panda Sijui Ndo Jigwa!?" "Aaaaa Mama Tausi yule tapeli tu Hana lolote umesahau alicho tufanyia" "Basi ya Mzee Nelson!" "Huyo naye Ndo Wale Wale Sema Yeye mtaalamu wa mazindiko Sana
0 Comments