Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 15 to 16

Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 15 to 16

Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 15 Baada ya Hapo Adana aliingizwa ndani ya chumba Hicho, yule Ustadhi aisee alianza kupandisha Majini Yake Huku akiwa anasoma Dua Za kila Aina!!. Hakika Siku Hiyo ilikuwa patashika kuchanika, ilipigwa Dua Hiyo inaitwa Mwana ukome! Yaani yule Baba mpaka Jasho lilikuwa linamtoka. Adana alianza kuweweseka Huku akiwa anatokwa na povu mdomoni, Baada ya Kama Nusu Saa alizimia yaani shughuli ilikuwa pevu mpaka mishuma ilizima!. Dakika na Masaa yalipita mpaka ilifika alfajiri, Adana alikuja kuzinduka kwanza alijishangaa Hali aliyo Nayo, Nywele zilikuwa Siyo nywele mavazi yalikuwa yameraruka mapaja Yote Nje, Mwili ulikuwa na ukurutu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments