NAKUPENDA ZAINAB❤️ 6 to 8

NAKUPENDA ZAINAB❤️ 6 to 8

Sehemu ;06 na 07 Mwandishi;lissa wa huru media Nikasema ndio mimi ,vipi ,akasema safi apo nikaona anaongea uku anaangalia chini, et anaona aibu wakati kwenye simu alikuwa anaongea bila aibu ,nikasema tutafute basi sehemu tukae tuzungumze au unaonaje ,jamani uyu demu nilikuwa sina hamu nae tena khaah kademu kashamba ukikaona nguo kalizovaa sikukaelewa kwa kweli, akasema sawa haina shida ,basi tukatafuta mgahawa wa kawaida ,nilikuwa sina ela mimi ya kwenda kwenye mahotel makubwa ,si mnajua bado napewa na wazazi ela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Basi nikakapeleka pale tukaagiza wali maharage wa buku jero kila mtu, nikawa namuangalia simpatii picha , natamani kumuuliza wewe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments