Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 7 to 8

Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 7 to 8

Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 7 Aisee cherekochereko ilipigwa ya kutosha Zawadi kwa uchache Wake zilitolewa na Rasmi Sasa Adana aliingia kwenye Ndoa na mwanaume Kipofu Huku kila Mtu akiwa anaamini ile Ndoa haitamaliza Hata Mwaka!. Kulikuwa hakuna Cha Ukumbi Wala ndugu Yake ukumbi, shughuli Yote iliishia kanisani, Jioni ile kigiza kikianza Lwitiko alikuwa anaondoka na Mke Wake Huku kila raia aliye hudhuria akisema lake, wengine walikuwa wanadhihaki kwa Sauti kabisa Huku wakiwa wanamcheka Adana!. "Hahaaaa Hata kama nimekosa soko Jaman Ndo mpaka kipofu!" "Angefanyaje Sasa, maana nasikia kwao ananyanyasika Haswa huwenda kaolewa kukwepa Mateso!" "Hata kama Ndo mpaka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments