
SEHEMU YA 19 Siku zilienda nyumbani kwa Aron hakukuwa na amani hata kidogo ilifikia hatua Aron alimpiga sana Lena na kuondoka nyumbani kwa wiki nzima. Siku moja Lena alikuwa anaongea na rafiki yake. " Cheki hayo makovu, hivi kwanini usiondoke ukaenda kutafuta maisha ya amani? " Natamani kuondoka leo kesho ila bado kuna mambo naweka sawa. " Unataka ufie mikononi kwake ? " Linda ndugu yangu unajua najuta sana kitendo cha kumsaliti LIAM . " Kwanza ilikuwaje ukamsaliti LIAM kijana mpole mwenye upendo? Lena alitulia kwa muda kisha aanze kumsimulia ilivyokuwa. " Unajua LIAM na Aron nibwatu wanafahamiana , walikuwa
0 Comments