JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 44 na 45

JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 44 na 45

wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Basi niliburudika na mwanaume wangu usiku mzima na asubuh tukajindaaa kwa ajiri ya kwenda kazini. Hii siku tulikuwa na rahaa na amani sana.na mume wangu ndo aliomba anipeleke mwenyewe kazini.kwa gari yake. Sikuwa na shida nilikubali na akanipeleka mpka job. Kisha ndo akenda zake sasa. Apo ndo nilishika simu.nikakuta james kanipigia sana maskini.nikampigia haraka. Akanambia mama za asubuh. Nikasema salama vp kipenzi. Akanmbia daah unanitia shaka tangu jana usiku nakupigia hupokei jamani mbona unanitesa lakini mama yangu .mh nikabaki ata la kusema sina.nikamwambia baby samahani sana jana niliwahi kulala sana. Akasema tresha ni kweli mwenzio nimekwambia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments