JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 43

JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 43

wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Basi kweli akapokea simu kisha akamuweka loud mama yake .nilishangaa sana kwa maongezi ya yule mama .alisema uko wapi nakuuliza upo kwa uyo mchawi wako.jovini nilishasema kwa sasa mwanamke wa kufatiliwa ni nancy huoni hali yake Leo mwanamke wako kampiga mpka kamtoa mimba kisha wewe unaende uko uko. Hivi wewe mtoto una akiri wewe. Unajionaje kwanza ama umerogwa.mh nilishangaa uyu mama si alinambia nimsamehe mtoto wake na anaioe .sasa leo mbona anayaongea tena aya. Basi jovin akasema mma kwann unanilazimisha kuwa na nancy ni mala ngapi mimi nimesema simuhitaji nancy eeeh. Usinifanyie hivyo plsss acha nibaki

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments