WHEN LOVE CHHANGED 31

WHEN LOVE CHHANGED 31

TULIPOISHIA Bila kutarajia walijikuta wakishiriki tendo huku ikiwa ni Kwa mara ya kwanza Doris anakutana na mwanaume kimwili, alilia kwa maumivu aliyoyapata Chris alimkumbatia na kimsemesha maneno yaliyofanya akaacha kulia na kujisikia mwenye furaha na bahati TUENDELEE Baada ya safari ndefu iliyosha miili Yao walipitiwa na usingizi, asubuhi na mapema Chris aliamka akiwa na furaha sana aliingia jikon na kuandaa kifungua kinywa Kisha akaenda kumuamsha kipenzi Cha roho yake "Hello Mpenzi wa moyo wangu ni asubuhi amka malkia wangu mzuri" alimuamsha Doris alijifunika Kwa aibu Chris alitabasamu na kumfunua shuka binti kajifunik uso na mikono "Doris acha hizo fungua macho

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments