
Sehemu ya 11 Mwandishi :lissa mwalla Nilistuka sana nikanyanyuka kitandani nikasema gio imekuaje dadangu akawa mpenzi wako? Si alikua anajua kuhusu mn na wewe? Gio akasema njoo basi tuongee sasa mbona unanyanyuka bby, nikasema hapana nahisi kusalitiwa gio au waliokua wanasema juu tenu ni kweli? Akasema nn kilisemwa juu yetu? Nikasema kuwa nyie wahuni sana? Akasema noo haikua hivo bby, naomba njoo basi hapa nikuelezee, nikasema noo mmenisaliti wewe na yeye, sababu yeye alikua anajua kabisa nn mm najiskia juu yako alikua anajua ww n mwanaume naekupenda kuliko wote duniani ameanzaje machoz yalinitoka nae akasimama akataka kunikumbatia nikasema noo niache
0 Comments