
Mwandishi :lissa mwalla Nilisafiri hadi Dodoma kipindi hiko flavio yupo Dodoma alikuja nipokea mwenzie nilikua nimechoka sana,moyo ulinisuka niliona haya snaa kwa kitendo cha kumsaliti flavio,lkn sikujutia wala niliona sawa tu.alinikumbatia akasema pole na safari bby,nikasema asante bby,akasema mmh dar pamekupenda sana bby umerudi umekua tofauti uso umengaa na umepata karangi kazuri bby na umesidi kuwa mzuri my love na hizi siku chache tu umenawiri vizuri sana.nikacheka nikasema ulinimis tu flavio wangu.akasema kweli nilikumis si utani my love.nikasema mm pia bby,nilimkumbatia na kumbusu.akasema bby tupite mahali tule au unataka ufike kwanz anyumbn?nikasema twende kwanza nyumbn nikaoge mana jotoo nahisi nanuka
0 Comments