
______________ SEHEMU YA KWANZA ANZA NAYO....... Lucas mkaka mwenye muonekano mzuri wa yali ya juu, mwenye umri wa miaka 30 tu, lakini muonekano wake ukimuangalia unaweza kusema ni mkaka wa miaka 25 au 28 hivi. Lucas anaingia kwenye mapenzi na msichana mzuri kabisa, msichana ambaye anajua umuhimu wa kuwa mchumba wa mtu, msichana ambaye anaheshimu mahusiano yake. PURE ndiye msichana aliyebahatika kumpata mtanashati LUCAS. PURE na LUCAS ni couple ambayo imebeba uhalisia wa ule msemo ndege wafananao Uruka pamoja. Ukiachana na mikosi na misukosuko mingi, couple hii imeamua kuwa imara kuliko kitu chochote. Vituko na utani wa hapa na pale
0 Comments