KATRINA Sehemu ya 14

KATRINA Sehemu ya 14

Mwandishi :lissa mwalla Nilishangaa sana,kina mama walibaki wameduwaa wanamshangaa kama mm nilivoduwa,ikabidi nimtoe mwilini na kumuingiza ndani,nikasema nini shida mbona sikuelewi?akasema mwenzie nina matatizo sana baba akijua ataniua sina mtu wa kumfata na kumwambia siri yangu zaidi yako,nikasema pole basi nyamaza kula uniambie nini shida.akasema mwenzio nina mimba hapa nilipo,nikasema wee una mimba?nikasema ndio nilivojigundua nikatoroka nyumbn nikaenda nikitegemea nikifika atakuaja nyumbn na wazazi wake, jamani nikaenda kwao na bwana,kumbe aliniambia yeye ni tajiri lkn muongo yeye ni maskini kwao hatari,sikuamini,ilinibidi nikae hivohivo kwao pale nimekaa wiki tatu lkn wananitukana na kunipiga,wananituma yani kazi zote mm,nikachoka nikamua kuondoka nikarudi nyumbn

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments