
Mwandishi :lissa mwalla Nikasema baba nini?akasema huyu hapumui inabidi tumpeleke hospital sasa hivi,nikasema ngoja nimpigie flavio sje mara moja,baba akasema sawa.nilimpigia flavio simu akaja haraka na gari tukambemba hadi hospital,tulivofika wakampokea kisha wakauliza nini shida huyu?imekuaje?mmm nikasema sijui alienda kulala lkn nilivoenda muamsha kula ndio nikakuta amela dam.nes akasema alikua na mimba eeh?nikasema ndio,.akasema mshenzi huyu alikua anataka kutoa mimba pumbavu zake hebu subirini hapa kwa hii hali yake sijui kama hata kama atapona.niliogopa nikaanza kusali pale namuomba Mungu amponye.baba akasema mwanangu inatupasa twende kwake tukawaambie wazazi wake,nikasema sawa baba,akasema basi mama yako abaki hapa flavio tunaomba utupeleke kwa mzee
0 Comments