
Mwandishi : Mmh nini hiki sasa?mbona gio hatupo hivi?nikasema nifanyaje sasa hapa?niliwaza.nikaona acha nimpigie dadangu Irene msiri wangu nimwambie.kipindi iko Irene alikua amechumbiwa tyr tunasubir tu harusi mana alichumbiwa na kaka mmoja ana mgodi wake arusha pesa ipoipo.siku iliofata tulilala hvi hivi bila showi flavio aliondoka akaenda kazini akaniacha mm nimelala,niliamka kwa kuchelewa nikapika zangu chai nikanywa ndio nikafanya usafi nikamaliza ,nikaamua kumpigia Irene sasa,tulisalimiana akasema shoga angu unarudi lini mana mwenzio mambo sio mambo nina mimba hivo nafunga ndoa baada ya wiki mbili.nikasema hee baba anajua?akasema wala hajui ila tu anajua tu mwanaume ananitaka haraka.sasa fanya urudi sasa ili
0 Comments