KATRINA Sehemu ya 18 na 19

KATRINA Sehemu ya 18 na 19

Sehemu ya 18 Mwandishi :lissa mwalla Sikumsemehesha wala,nikachukua dagaa zangu na kuanza kuandaa nikaandaa nikapika kisha nikapika na ugali wangu pale nikaanza kula yeye akawa amejilaza,sikujua kwa nini amefanya vile sasa,nilimazliza kula nikaoshwa vyombo nilivolia nikatoka kwenda kwa ella,tulikua tunaangalia tamthiria na kupiga stor zingine tu za kichuochuo,muda wa jioni nikamsindikiza madukani tukarudi mie nikarudi kwangu nilikuta freya kanuna na amekula ugali niliomuachia nikasema kumbe alikua na njaa sasa kila kitu kipo kwa nini hakupika?nilimshangaa sana lkn nikkausha.nilianza kujipikilisha kujipikilisha wali na wale dagaa nikapika ukaiva mara nikapigiwa simu na flavio tukaongea alikua ananisimulia vistor basi nacheka sana.nilimaliza kupiga shoga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments