
Mwandishi :lissa mwalla Nilimzaba kibao cha haja hajakaa sawa nikampa kingine, hajakaa sawa nilimpa kingine huku nasema mshenzi wewe unafkiri nimesahau uliyonifanyia? Unafkiri nimesahau kuwa ni wewe ukienifanya mm niachane na mpenzi wangu? Wewe una wivu na roho mbaya kila kizuri wataka kiwe chako, unasahau mm sijamfata mtu kati yao wamekuja wenyewe sasa kinachokuuma nini wewe? Akasema yani unanipiga? Nikasema hapo nimekupiga nimekugusa? Nilitamani kukupiga kitambo sana wewe unaroho mbaya, unafkiri nimesahau ulivokua unanitukana mm maskin na kunifanya mtumwa shule zote nilizosoma na wewe nilikua napewa majina? Leo ynakuja kusema nilitengwa nilikua nafanya mapenzi jna uhakika? Nani alieniambia nitaachishwa shule
0 Comments