THE BOSS Sehemu ya 26 na 27

THE BOSS Sehemu ya 26 na 27

Basi mie nikajilalia kwa rahaaa zangu, si najua babya jioni anakuja kuniona asa shida iko wapi , basi nikajituliza na komwe langu, na jioni sana ndo nikaamka ,basi cha kwanza ni kumpigia baby, doooh naona shida imerudi ile ile nampigia ata hanipokelei simu yangu kabisa, daah mpama jioni ikapita ni ni kimyaa, mufti hakunitafuta wala hakuniulizaa, nilishangaaa jamani, nikaona nizidi kumpigia mie nimkumbushe huwenda kajisahau mambo mengi kazini , basi mie nikampigiaaa, mh nasikia namba unayopiga haipitakani, yani safari hii simu yake ikazimwa kabisaaaaa, apo ndo nilkoma nikanyong'onyea kabisaaaa, daaah basi mie nikatulia chumbani kimyaa ila nahisi hasira mpaka midomo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments