LEAH (JASON'S MAID) 7 na 8

LEAH (JASON'S MAID) 7 na 8

SEHEMU :7 Muda wa masaa nane walikuwa njiani na hatimaye walifika nyumbani kwa Mr Hudson Leah alikaribishwa vizuri " Karibu sana Leah hapa ndo nyumbani " alisema bi lulu " Kwahiyo Mimi ndo nitakuwa nafanya kazi kwenye hili jumba kubwa namna hii " Leah alikuwa anashangaa Kila Kona " Hapana hapa ni nyumbani kwangu sehemu yako ya kazi ni nyumbani kwa mtoto wangu kwa Leo utapumzika hapa kesho kwasababu ni weekend nitakupeleka anapoishi " " Sawa , naweza kukaa hapa kwenye hili godoro " Leah alikuwa anamnyooshea kidole sofa " Ndiyo unaweza kukaa jisikie upo nyumbani " bi lulu aliongea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments