THE BOSS 28 hadi 30

THE BOSS 28 hadi 30

Sehemu ya 28 Nikasema eeeh boss, shikamoo, avish akanmbia, mimi sijakupigi ww kutafuta salamu, ni week sasa upo nyumbani, ni umejikalia tu, umejiamulia au sio, ni nani kakupa rihusa ya ww kukakaa nyumbani, mh jamani, nikasema aha boss samahani ni mama ndo aliniambia kuw npumzike kwa week 2, avish akasema.mama ni mama gani, hivi we binti una akiri ww, una akiri vizuri, uliajiliwa na mama apa, unaleta masihara na kampuni yangu sio ,unanitania sio, nyieee mtu simuoni ila kwa jinsi anaongea tu na mimi mpaka nikawa naogopa , yani naogopa sanaa, yani mpaka natetemeka, nikasema basi boss naomba nisamehe, avish

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments