
"Amesemaje ?" Mr Hudson alimuuliza mkewe bi zubeda "Amekubali kwenda kuongea na dada yake nahisi Kila kitu kitakuwa sawa " " Wow vizuri sana Sasa Hofu yangu imepungua Nina uhakika hawataweza kukataa ofa yetu " alisema Mr Hudson " Yeah , hawawezi kukataa lakini tunatakiwa kufanya kitu ambacho kitawafanya wakubali kutuamini na kutupatia mtoto wao aje kufanya kazi huku " alisema bi lulu " Kama kitu Gani ?" Aliuliza Mr Hudson " Kuliko kumtumia ya zubeda anaende kuongea na dada yake unaonaje na Mimi pia nikienda kwa kiasi Fulani ninaweza kuwashawishi kama wakikataa kumuamini zubeda " " Okay basi acha
0 Comments