THE BOSS Sehemu ya 25

THE BOSS Sehemu ya 25

Basi kweli mie harka nikavuta simu yangu, na nikaanza kumpigia mufti, mh mnazani alipokea ahaa wapi, nilipiga mnooo, yani simu iliita weeee, nasikia tu simu inaita mpaka inakata ila wala haipokelewi mpaka nikawa nawaza au kapata shida mbona hashiki simu zangu, sikuchoka nikampigia tena, ila walaaa haikupikelewa majibu yaliludi yale yale tu , nikahisi uwenda ni mda wa kazi na kazi zimemzidia ila akikuta missed call zangu ni lazima atanipigia tu, basi nikawaza sana juu ya uyu mwanaume, nikamtumia sms ndefu ya kulalamika kuwa sipendi anachonifanyia ,ananizalau mnoo, mana anjua kabisa mwenzeka naumwa lakini anakuwa han mda na mm kabisaaa,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments