
🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸 Mwandishi: naah mzuri TUlipata kifungua ki nywa na dada mzungu pamoja na wale wadada wawili wakazi tulipomaliza kunywa chai wale wadada wakazi waliondoa vyombo na wakaondoka pale mezani ‘’ Mh!!!we dada ko jumba lote hili unaishi pekeako dada angu!?? Nilimuiliza swali hilo dada mzungu nae akanijibu iviii Oooh no ninae mwenzangu lakini yupo mahali kazini huwa anarudi apa nyumbani weekiend tu ,pia nina wadogo zangu wawili niwanafunzi wa chuo wako nje na hapa bongo “”” Ooh🙄 nilipigwa na butwaa sana kumbe dada anapesa kiasi kikubwa kile!!! Anyway embu jiandae uwahi chuo siunajua leo ndo siku ya kurepot kwa mara
0 Comments