MR PERFECT SEHEMU YA : 20 FINALE

MR PERFECT SEHEMU YA : 20 FINALE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kule nyuma ya buti sikujali ni wapi tulikua tunaenda ila kikubwa ni kwamba nilifanikiwa kutoroka. Nilitulia tuli safari ikiendelea. Apo Margarita alikua na raha mpaka akawa amefungulia mziki wa sauti kubwa akiimba na kucheza. Sasa safari ilipokua inaendelea nilianza kuona tunatoka nje ya mji kabisa na kuingia eneo la mapori. Nikaanza kuogopa mno na kuzidi kutulia. Mwendo haukua mrefu sana ila hatimaye tulifika kwenye jumba bovu lililo chakaa chakaa ambalo kwa haraka huwezi dhani kama kuna mtu anaishi. Huko ndipo Margarita alipomficha Doris mdogo wake na Dalton. Kwenye iyo nyumba alikua yupo Doris pamoja na wanaumee wawili ambapo kazi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments