
Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Nililala kwa shida sana huu usiku na kesho yake nikaingia kazini. Kiukweli nilijalibu sana kupmbana na moyo wangu juu ya kumfikilia sanura. Juu ya kumuwazia sanura . Ila wapi . Yani mda wote kama namuona nikikumbuka huba lake anavyoongea.nilikuwa najikuta nammisa sana . Na hamu nae sana . Nikimuwazia tu juu ya mambo yake ya chumbani mpaka nyege zinanipanda. Hii siku nakumbuk nilimmis sana. Yani sana .mpka sasa nikashindwa kuvumilia.nikampigia simu joel..nikamwambia joel na hamu sana na sanura nataka usiku wa leo niwe nae .akanmbia asa inakuwaje kwani bado kakublock .nikasema ndio nataka umpigie ww.
0 Comments